Seremala Tito Mwampashi ambaye alipata mafunzo katika Chuo cha Ufundi Seremala cha Kanisa la Moravian Jijini Mbeya na kufanikiwa kufungua kiwanda cha utengenezaji wa Samani Chunya mjini mkoani Mbeya, na kufanikiwa kuwapa ajira vijana kadhaa.
Wafanyakazi walioajiriwa katika kiwanda cha utengenezaji Samani kinachomilikiwa na Bwana Tito Mwampashi huko wilayani Chunya
Bwana Tito Mwampashi(kulia) mmiliki wa kiwanda cha kutngeneza Samani wilayani Chunya mjini akiwa na mmoja wa wateja wake Bwana Zaire Zambi.
NENO LA LEO:- Vyuo vya Ufundi Stadi vinaweza kuwakomboa vijana kujiajiri, hivyo serikali iwawezeshe kupata mitaji mara baada ya kuhitimu kwa lengo la kuongeza uchumi nchini.
0 comments:
Post a Comment