Pages


Home » » MARUMBANO YASABABISHA UKWASI WA MAENDELEO WILAYANI MBARALI.

MARUMBANO YASABABISHA UKWASI WA MAENDELEO WILAYANI MBARALI.

Kamanga na Matukio | 05:33 | 0 comments
Daraja la Kijiji cha Ijumbi, kata ya Ruiwa wilayani Mbarali mkoani Mbeya, ambalo hutumiwa na wananchi kuvuka kuelekea kijiji jirani, ambapo wananchi wengi wamekuwa wakifa kutokana na kuteleza. Mradi wa TASAF ulitoa msaada wa ujenzi wa daraja la uhakika lakini mpaka sasa kumekuwa na marumbano baina ya uongozi waHalmashauri ya mbarali, Kata husika na wananchi ya kwamba ni sehemu gani sahihi lapaswa kujengwa.
Serikali ngazi ya Mkoa ingilieni suala hili ili kunusuru madhara ya kifo kutokana na daraja hili marumbano mpaka lini.

Kwa tafti iliyofanywa na mtandao huu umebaini kuwepo kwa marubano baina ya viongozi wa serikali ya kata, vijiji na wananchi, katika meneo ya kijiji cha Kanioga, Ijumbi, Nsonyanga, Mapogolo, Kapunga na Mawindi. Ambapo baadhi ya watendaji hutafuna fedha za miradi lakini hatua za kisheria hazichukuliwi dhidi yao
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger