Pages


Home » » OFISI YA AFISA MTENDAJI WA KATA YAACHWA WAZI MIDA YA KAZI PASIPO UANGALIZI JIJINI MBEYA

OFISI YA AFISA MTENDAJI WA KATA YAACHWA WAZI MIDA YA KAZI PASIPO UANGALIZI JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:16 | 0 comments
 Ofisi ya Afisa mtendaji wa Kata ya Isanga jijini Mbeya ikiwa imefunguliwa na kuachwa wazi pasipo kuwepo na mtu yeyote kwa zaidi ya masaa matatu, kuanzia muda wa majira ya saa 5 asubuhi hadi saa 8 mchana ikiwa mida ambayo mtumishi anatakiwa kuwa kazini kutatua matatizo ya jamii, halikadharika nyaraka za serikali zikiachwa. Je huu ni Uwajibikaji kwa watendaji wa serikali, hivi Maadili ya viongozi na utawala bora yanazingatiwa.
Mtandao huu umeweza kumsubiri Afisa Mtendaji wa Kata ya Isanga jijini Mbeya Bi Ever George kwa takribani muda wa masaa matatukuanzia muda wa majira ya saa 5 asubuhi hadi saa 8 mchana, na hakuwa tayari kupokea simu yake, Je wangapi wanapata usumbufu katika kata zetu, Sekretarieti ya Maadili ya viongozi na Utawala bora inapaswa kuchunguza tabia hizi kwa mtu aliyepewa dhamana ya kuitatulia matatizo jamii.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger