Pages


Home » » TUKUZE SOKA NCHINI KWA KUWAJENGA KISAIKOLOJIA WA WATOTO, KWA KUPATIWA MAFUNZO NA VITENDEA KAZI WAPA VITENDEA KAZI.

TUKUZE SOKA NCHINI KWA KUWAJENGA KISAIKOLOJIA WA WATOTO, KWA KUPATIWA MAFUNZO NA VITENDEA KAZI WAPA VITENDEA KAZI.

Kamanga na Matukio | 05:08 | 0 comments
Siku njema huonekana asubuhi ..... Wanapaswa kujengewa vituo vya kujifunzia soka toka utotoni, na sio mpaka ukubwani kwa lengo la kuinua soka letu nchini ili kufuta dhana ya Tanzania kuitwa Kichwa cha mwendawazimu , Ni watoto wa kijiji cha Inyala wilayani Mbeya vijijini ambao wakicheza mpira wa mchangani bila kujali mawe maarufu kama Chandimu.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger