Pages


Home » » WABUNGE MBEYA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA MKOA - RC MBEYA

WABUNGE MBEYA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA MKOA - RC MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:04 | 0 comments
Mkuu Mpya wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro baada ya kumaliza kula kiapo sasa aanza kuutumikia Mkoa wa Mbeya.
*****
Na mwandishi wetu 
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro amewataka wabunge mkoani hapa kushirikiana na Serikali ya mkoa ili kurahisisha huduma za Serikali kwa watu wake.

Akiongea na waandishi wa Habari katika ofisi za chama Chao Kandoro amesema kuwa umoja na mshikamano kati ya viongozi wa Serikali na wabunge ndio njia pekee ya kutatua kero na matizo yanayowakabili wananchi.

Aidha amewataka wabunge hao kuondoa itikadi za kisiasa katika utendaji wa kazi ili kuleta maendeleo kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuwa tayari kutangaza maendeleo yaliyofanywa na Serikali badala ya kukosoa pekee.

Wakati huohuo Serikali imetoa matrekta na powertila kwa wakulima ikiwa ni njia ya pekee ya kuwawezesha wakulima hao kuondokana na kulimo cha jembe la mikono ambalo limekuwa likichangia wakulima kutopata mazao mengi.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger