Pages


Home » » BAADHI YA MADEREVA NA ABIRIA MKOANI MBEYA NI SUGU KWANI HAWAJIFUNZI KUTOKANA NA MAKOSA, KWA AJALI ZINAZOTOKEA MKOANI HAPA.

BAADHI YA MADEREVA NA ABIRIA MKOANI MBEYA NI SUGU KWANI HAWAJIFUNZI KUTOKANA NA MAKOSA, KWA AJALI ZINAZOTOKEA MKOANI HAPA.

Kamanga na Matukio | 05:34 | 0 comments
Sakata la kubeba abiria katika magari ya kubebea mizigo bado ni tete mkoani Mbeya, licha ya kuwepo kwa ajali zinazotokea mara kwa mara na kuchinja idadi kubwa ya abiria. 

Mtanado huu umeweza kushuhudia gari hili la mizigo aina ya Canter katika barabara ya Utengule Usangu wilayani Mbarali likiwa limebeba abiria kwa kushonana. Je?, Jeshi la polisi mkoani Mbeya mnaliona hili kwa makini ili kunurusu uhai wa wanajamii?.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger