Pages


Home » » UBOVU WA MAGARI HUCHANGIA KWA KIASI KIKUBWA AJALI ZISIZOKUWA RASMI MBEYA

UBOVU WA MAGARI HUCHANGIA KWA KIASI KIKUBWA AJALI ZISIZOKUWA RASMI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:17 | 0 comments
 Ajali ya gari ambayo hufanya ruti ya kusafirisha abiria kutoka Mwanjelwa jijini Mbeya mpaka mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini,  ambayo imetokea mteremko wa Mbalizi ambapo zaidi ya abiria Thelathini wamenusurika kifo, baada ya gari kushindwa kupandisha mlima hali iliyopelekea kupinduka. Tukio hili limetokea siku ya Jumapili.
Baada ya kupinduka kwa gari hiyo ambayo hufanya tuti ya kusafirisha abiria kutoka Mwanjelwa jijini Mbeya hadi Mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini hatimaye lilinusurika kutumbukia bonde la mtoni Mbalizi tukio lilitotokea siku ya Jumapili.

Jeshi la polisi Usalama barabarani Mbeya mnapaswa kufanya uchunguzi wa kina ili kuweza kubaini magari yenye karoso kwa lengo la kuepukana na ajali zisizokuwa za lazima
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger