Pages


Home » » IKIWA NI WIKI LA NENDA KWA USALAMA, ASKARI WA USALAMA BARABARANI MBEYA APIGA VITA RUSHWA, AGOMA KUIPOKEA

IKIWA NI WIKI LA NENDA KWA USALAMA, ASKARI WA USALAMA BARABARANI MBEYA APIGA VITA RUSHWA, AGOMA KUIPOKEA

Kamanga na Matukio | 05:26 | 0 comments
Gari ya kubebea bidhaa za vinywaji vya Kampuni ya Cocacola lenye nambari za usajili T 145 ALL lililokuwa likiendeshwa na dereva Delius Mwambene mwenye umri wa miaka 36, Mkazi wa Iyunga jijini Mbeya lilikamatwa eneo la Mwanjelwa jijini hapa likiwa bovu na dereva huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kujaribu kutoa rushwa ya shilingi 10,000/= mara baada ya kutakiwa na Askari wa Usalama barabarani Sajenti Jeremiah  kulipeleka gari hilo Kituo cha Usalama barabarani na Askari huyo kugoma kupokea rushwa hiyo.

Endapo Askari wote wa Usalama barabarani wakiwa na msimamo huu ama hakika ajali zisiazokuwa za lazima zitaisha nchini
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger