Hapa
tulishuka katika gari yetu kutizama utengenezaji wa mitumbwi,mita
chache kabla ya kufika Ziwa Nyasa kutoka kulia Meneja wa Kituo cha Redio
Bomba FM 104.0MHz Mbeya Tanzania DJ Fredy,akiwa na
Watangazaji na Madj wa kituo hicho Tunu Lugombe,Martha Haule,Amani Mbilo
a.k.a Ammy,Sheby,Jirani Mtembezi(tisheti nyeupe) na Greyson Salufu
a.k.a Chris Bee(aliyevalia pink colour) katika ziara ya kuelekea Ziwa
Nyasa.
Walisikika
wakizi-countdown numbers 1,2,3 kisha wanazama teh teh DJ Imma
Boy(kushoto),Azza K(katikati) na DJ Fredy wote toka Bomba FM Redio
104.0Mhz Mbeya Tanzania,wakiwa ndani ya Ziwa Nyasa..
Zamu ya kuzunguka Ziwa Nyasa kwa mtumbwi
Kama kawa.
Twaingia ndani ya mtubwi kuianza safari ndani ya Ziwa.
Majaribio kwanza.
Kaonja raha ya Mtumbwi.
Mmh....kazi ipo Tunu Lugombe(Kushoto) na Greyson Salufu Chatanda a.k.a Chris Bee ndani ya Ziwa Nyasa.
Sheby Shabani(kushoto) anayefuata Chris Bee, DJ Fredy ambaye ni Meneja wa Kituo(kulia) na nyumba ni Azza K Fire Born
Martha Haule na Sheby Shaban
Chris Bee na Sheby Shaban
Amani Mbilo a.k.a Ammy na DJ Fredy
Azza K Fire Born(kulia),akifuatiwa na Ammy(katikati) na DJ Fredy
Mmh kijana una mambo teh teh.... katuni letu bana!!
Dj Imma Boy(kulia), Martha Haule(mwenye traki) na Azza K
Sasa nyie wengine mtaogeleaje na nguo?! au ndo mwaogopa maji mpaka mshikishwe fimbo.
DJ Fredy piga mbizi tuone bwana.
Haya sasa tupe raha basi kwa unavyofanya mixing za ngoma basi.
Mmh haya sasa!!
Sheby acha kumng'ang'ania mwenzako.
Viduku mpaka Ziwani haya na kwanini tuambizane muziki upo wapi?
Chris Bee hafahamu mbinu hata moja ya kuogelea.
Si tukakutana na wenyeji sasa,tukaanza Kiduku Waleo wakesho.... waleo wakeshooo aheeee.... Mamamamaa Mamamamaa mamama!!
0 comments:
Post a Comment