Pages


Home » » BREAKING NEWS:- WATU WATATU WAMEUAWA KWA KUPINGWA RISASI MKOANI MBEYA.

BREAKING NEWS:- WATU WATATU WAMEUAWA KWA KUPINGWA RISASI MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 05:10 | 0 comments
Watu watatu ambao ni wafanyabiashara wa zao la Mpunga,wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika Kitongoji cha Lumbesa,Kijiji cha Maleza,Wilaya ya Momba,Mkoani Mbeya.

Tukio hilo limetokea usiku wa Juni 14,mwaka huu,ambapo wafanyabiashara hao walikuwa wametokea jijini Mbeya kwa lengo la kwenda kununua mpunga.

****Kwa habari zaidi endelea kufuatilia mtandao huu******.


Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger