Pages


Home » » Taifa Stars yarejea nyumbani salama

Taifa Stars yarejea nyumbani salama

Kamanga na Matukio | 04:43 | 0 comments
 Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbiji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa ndani ya basi mara baada ya Kuwasili katika Uwanja  wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana usiku wakitokea nchini Msumbuji waliposhiriki katika Mchezo wa  mtoano wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika CAF. Taifa Stars ilitolewa katika michuano hiyo kw kufungwa kwa mikwaju ya penati na Msumbiji 8-7.
  
 Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Kim Polsen akizungumza na Sunday Kayuni mara baada ya kuiwasili uwanjani hapo.
Kwa hisani ya FATHER KIDEVU
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger