Mkazi wa Ilolo Jijini Mbeya,akiwa kwenye bustani ya mboga akifanya
maboresho ya mboga kwa kupapalia,eneo hilo ni maarufu kwa kilimo cha
mboga mboga ambapo kwa asilimia kubwa wakazi wa jiji la Mbeya hupata
mahitaji ya mboga kutoka eneo hilo.
Watoto
wakiwa wamebeba miwa kama walivyokutwa,umri wa watoto hao wanatakiwa
kuwepo shule lakini wengi wao hawaendi shule na kuwa watoto wa
mitaani,kutokana na ugumu wa maisha wazazi kukosa ada,yatima na waishio
katika mazingira hatarishi..
Wanafunzi wa shule ya msingi Sinde ya Jijini Mbeya, wakiwa wanateka
maji mtoni,ambayo si salama kwa afya zao kutokana na wakazi wa eneo
hilo hutupia kila aina ya takataka(uchafu) huku wakiendelea kutumia maji
hayo kwa kufulia nguo.(picha na Godfrey Kahango).
0 comments:
Post a Comment