Pages


Home » » ABIRIA 10 WAFARIKI NA WENGINE 19 WAJERUHIWA:- Tukio kamili la ajali iliyo tokea eneo la Ntangano Ijombe Mbeya , kuanzia Ajali ilivyo tokea, uokoaji hadi Maiti na Majeruhi kufikishwa Hospitalini.

ABIRIA 10 WAFARIKI NA WENGINE 19 WAJERUHIWA:- Tukio kamili la ajali iliyo tokea eneo la Ntangano Ijombe Mbeya , kuanzia Ajali ilivyo tokea, uokoaji hadi Maiti na Majeruhi kufikishwa Hospitalini.

Kamanga na Matukio | 03:53 | 0 comments
 Watu Mbali mbali wakisaidia shughuri za uokoaji katika eneo hilo.
 Umati Mkubwa wa watu uliofika Eneo la Ajali kushuhudia pamoja na kusaidia kazi ya uokoaji 
Baadhi ya watu wakiwa wameitanda Coaster hiyo kwa ajili ya kusaidia uokoaji 

 Baadhi ya maiti kama zinavyoonekana chini wakati wanangojea shughuli nzima ya uokoaji
Baada ya kupinduka.
Sura ya Mbele ya Lori hilo.
 Gari Kubwa la Mizigo ambalo nalo lilipinduka mara baada ya ajali kutokea 
 Watu waliofika katika hospitali ya Rufaa kutazama miili ya Marehemu
 Miili ya Marehemu ikiwa tayari imewasili katika Hospitali ya Rufaa Mbeya
 Polisi, watu mbalimbali pamoja na wauguzi wakiwa wamefika kusaidia kazi ya kushusha maiti hizo 
 Wafanyakazi wakiwa wanakimbiza majeruhi kupata huduma ya kwanza pamoja na Kupeleka Marehemu katika chumba cha Kuhifadhia Maiti.
 
 Mmoja wa majeruhi ambae ameshapata matibabu.
 Mmoja ya binti ambae ameumia Vibaya akipata matibabu  katika hospitali ya Rufaa muda mchache uliopita.
 Baadhi ya Ndugu jamaa na marafiki waliofika eneo nyumba ya Kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa kuwatambua ndugu zao muda mchache uliopita
Polisi wa usalama wa Barabarani wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya(Picha na Joseph Mwaisango wa Mbeya Yetu). 
*******

Abiria 10 kati ya 30 waliokuwemo katika Coaster iliyokuwa ikitokea Uyole jijini Mbeya, kuelekea Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya wanadhaniwa kufariki na wengine 19 wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini hapa baada ya  kugongana uso kwa uso na gari la mizigo aina Lori.

Tukio hilo limetokea eneo la kona huko Igawilo ambalo, jiji hapa ambapo abiria 8 na dereva wa Coaster wamefariki wakati katika gari ya mzigo mtu mmoja naye amefariki......
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog wa kwanza kushoto aliyevalia shati jeupe Joseph Mwaisango akiwa anatoka eneo la Tukio mara baada ya kumaliza kazi yake.
Kwa hisani ya Mbeya yetu.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger