Pages


Home » » MWENDOKASI BADO NI TATIZO KWA MADEREVA MKOANI MBEYA HALI INAYOPELEKEA KUSABABISHA AJALI NA HASARA

MWENDOKASI BADO NI TATIZO KWA MADEREVA MKOANI MBEYA HALI INAYOPELEKEA KUSABABISHA AJALI NA HASARA

Kamanga na Matukio | 05:27 | 0 comments
 Gari hili aina ya Tipa mara baada ya kupata ajari namba ya usajili linalodaiwa kuwa ni mali ya Bwana Issa John S.L.P 3500 mkazi wa Mbeya.
Ajali hii imetokea wakati dereva akijaribu kumkwepa Mwendesha baiskeli na kulivaa gari kubwa la mizigo lilokuwa limepaki jirani na Kituo cha mafuta cha ORXY mtaa wa Mama John Jijini Mbeya majira ya Saa 2 na dakika 45 usiku..
 Mwenyekofia ya drafti hapo katikati ni Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Bomba FM kilichopo Jijini Mbeya Bwana Iman John Mwakapoja akiwa eneo la tukio akiongea na wananchi walioshuhudia tukio hilo eneo la Mama John Jijini Mbeya.
Wananchi wakiwa eneo la tukio wakishuhudia zoezi la uokoaji wa majeruhi zaidi ya watatu wa ajari hiyo 
Tabia ya kutoa namba kwa Wamiliki wa Magari mkoani Mbeya yaendelea kwa sababu ambazo hazieleweki je?, ni kuficha ushahidi.

Mmoja anusurika kufa baada ya kubata kipigo kutoka kwa Wananchi kwa kosa la kutaka kuiba taa za gari, Jeshi la Polosi la wahi kumwokoa. 
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger