Wezi na vibaka wafurahia tukio wakiwemo akina mama hili kwani imekuwa fursa kwao kutokana na kujinufaisha kwa kuiba ikumbukwe katika ajali iliyopita ya Soko la Mwanjelwa watu weki walipata mitaji kutokana na kuiba mali.
Moto ukiendelea kuchoma vibanda na makontena ya Biashara sokon
Moto ulianza pale majira ya asubuhi Saa 3:50, lakini mpaka kufikia saa 5:15 Zimamoto walikuwa bado hawajafika na walipofika wakaaza kuzima moto ulikoanzia badala ya kule uelekeapo ili kunusuru mali nyingine zisiteketee. Na baadhi ya wafanyabiashara wamefanikiwa kuokoa bidhaa zao lakn waliowengi wamepata hasarASoko la Sido Mwanjelwa Jijini Mbeya ambapo chanzo cha Moto hiyo ni hitilafu ya umeme.Mto unaendelea kuteketeza bidhaaMoto mkubwa ukiendelea kuwakaMasalia ya Bati zilizoteketezwa na Moto katika Soko la Sido.Hili nalo ni Zimamoto ambapo wananchi wakikinga maji kwa lengo la kusaidia kuzima maji vibanda vyao. Kulia mwenye Top ya dhambarau ni AMAN MBILO Mwandishi wa habari na Mtangazaji wa kituo cha redio cha Bomba FM kilichopo jijini Mbeya.Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT akiwa amemkamata mualifu ambaye alikuwa akijaribu kuiba bidhaa sokoni Hapo.Askari wa JKT wakimuadhibu mualifu au KibakaAskari wa JKT na Polisi wakiwa wameweka chini ya Ulinzi kibaka.
Vyombo vya dola watumia Mabomu ya mchozi kutawanya wananchi, kwani ilikuwa haifahamiki ni nani muokoaji, kibaka na wezi baada ya kutokea kwa vurugu kubwa kwa kuwarushia mawe vyombo vya dola mara baada ya Mbunge Joseph Mbilinyi kuondoka.
Chanzo cha ajali hii ni hitilafu ya umeme na hivyo Serikali inapaswa kuimarisha kikosi cha nzima moto tukio hili ni la tatu mkoani Mbeya baada ya kuungua kwa soko la Mwanjelwa, Uhindini nah ii leo ni Sido Mwanjelwa.
Kwa mujibu wa mama moja alisikika akili milioni mbili mimi nitazitoa wapi na ndio naingia katika janga la umaskini jamani,
AKIZUNGUMZA NA MMOJA WA WAFANYA BIASHARA JINA LAKE ANAITWA GODEN MWAKALINGA ALIELEZA KUWA CHANZO CHA MOTO HUO KILITOKANA NA HITILAFU YA UMEME KATIKA KIBANDA CHA BIASHARA CHA BWANA GHALIFA NA KUSABABISHA MOTO HUO KUWAKA NA KUSABABISHA HASARA KUBWA KATIKA SOKO HILO KUU LA SIDO MWANJELWA MBEYA
0 comments:
Post a Comment