Pages


Home » » MAEGESHO YASIYO RASMI NA KUTOKUWA NA NJIA MBADALA YASABABISHA VIFO VYA BINADAMU NA WANYAMA MBEYA

MAEGESHO YASIYO RASMI NA KUTOKUWA NA NJIA MBADALA YASABABISHA VIFO VYA BINADAMU NA WANYAMA MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:29 | 0 comments
 Lori hili lenye namba ya usajili T 939 BMK ambalo lilipaki kwa muda wa siku mbili baada ya kusababisha ajali mbili tofauti eneo la njia panda ya Ilomba jijini Mbeya, ambapo gari aina ya Fuso liligonga kwa nyuma roli hilo nyakazi za usiku na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Pia ajali ya pili pikipiki iligonga ngao ya gari hiyo ukitizama imepinda na kumsababishia dereva wa pikipiki hiyo kufariki papo hapo.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger