Pages


Home » » MBEYA KUNANI NA ZIMWI HILI LASABABISHWA NA NANI KILA SIKU AJALI

MBEYA KUNANI NA ZIMWI HILI LASABABISHWA NA NANI KILA SIKU AJALI

Kamanga na Matukio | 05:54 | 0 comments
Gari ya abiria yenye jina la Shapa Bup lenye namba ya T 999 ABP iliyokuwa ikiendeshwa na Bwana Khalifa Mussa umri wa miaka 33, mkazi wa Kabwe jijini Mbeya. Gari hili liligongana na gari mali ya Idara ya Sheria lenye namba STK 5960 lililokuwa likiendeshwa na Bwana Robert. Na kizungumkuti pale madereva walivyoanza kubishana kuwa mwenzie ndiye kasababisha ajali hiyo.
Mtandao umebaini kuwa chanzo hicho ni Mwendokasi na hivyo Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Advocate Nyombi amewaonya madereva wanaosafiri kwa mwendokasi na kwamba atakayebainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger