Pages


Home » » KICHANGA CHATUPWA JALALANI MTAA WA KADEGE JIJINI MBEYA

KICHANGA CHATUPWA JALALANI MTAA WA KADEGE JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:42 | 0 comments
Dampo hili baada ya kutumika kutupa taka, mara kwa mara limekuwa likitumika pia kutupa Watoto wachanga kama picha inavyonesha ambapo mtoto huyo akiwa na siku moja toka atupwe. Ikumbukwe katika jamii kuna watu ambao wanahitaji kupata watoto lakini imekuwa ikishindikana na walipewa bahati ya kuzaa wamekuwa wakichezea uzao wao pasipo huruma, na kutojali kuwa wakimkufulu Mwenyezi Mungu.
Wakazi wa mtaa wakishangaa tukio hilo linalosikitisha
Akina mama nao hawakuwa nyuma na hivyo kulaani tabia hiyo
Wengine hao pia wakifuatilia/kutizama kichanga hicho.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger