Pages


Home » » MADEREVA WA DALADALA JIJINI MBEYA WADAI BIASHARA NGUMU

MADEREVA WA DALADALA JIJINI MBEYA WADAI BIASHARA NGUMU

Kamanga na Matukio | 05:06 | 0 comments
Biashara ya usafirishaji wa abiria imekuwa ngumu jijini Mbeaya na badala yake madereka wameendelea kukiuka sheria za usama wa barabarani na hivyo kusababisha kutoa Rushwa ya shilingi elfu moja kwa askari wa usalama wa barabarani hasa katika kituo cha Maghorofani hata hali kadharika katika kituo cha Kabwe Mwanjerwa jijini Mbeya.

Kwa mujibu wa madereva wamedai kuwa wamekuwa wakitumia muda mrefu kutoka vituoni humo kutokana na foleni kubwa inayosababishwa na madereva na makonda wenye uchu wa Pesa kujaza abiria kupita kiasi na hivyo kutumia muda mwingi katika eneo moja. 
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger