Pages


Home » » HALI MPAKANI TUNDUMA SASA NI SHWARI BAADA YA KUTANBGWAZWA KWA MATOKEA NCHINI ZAMBIA.

HALI MPAKANI TUNDUMA SASA NI SHWARI BAADA YA KUTANBGWAZWA KWA MATOKEA NCHINI ZAMBIA.

Kamanga na Matukio | 06:03 | 0 comments
 Katikati mwenye koti jeusi diwani wa kata ya Tunduma Mheshimiwa Frank Mwakajoka Baada ya wafanyabiashara kushindwa kufanyabiashara zao na kupelekea kufunga kutokana na vurugu zilizotokea za kupingwa ucheleweshaji wa matokea ya uchaguzi nchini Zambia sasa ni shwari na wananchi wameanza kuvuka mpaka na wafanyabiashara kurejea katika shughuli zao.
 Baadhi ya wananchi waishio mji mdogo wa Tunduma waliokuwa wamekusanyika sehemu moja baada ya kufungwa kwa biashara zao.
Madereva wakielekea kukamilisha ushuru wa foroza na kukamilisha taratibu za kuvuka mpaka kuelekea nchini Zambia na Kongo.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger