Pages


Home » » AJALI MBAYA YATOKEA SINGIDA,WATU WATANO WAPOTEZA MAISHA

AJALI MBAYA YATOKEA SINGIDA,WATU WATANO WAPOTEZA MAISHA

Kamanga na Matukio | 05:02 | 0 comments


Gari aina ya Mitsubishi Pajero likiwa eneo la tukio mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo mbaya siku ya Alhamisi majira ya saa 11:30 jioni barabara kuu ya Singida Nzega kilomita 15 kutoka mjini singida na kusababisha vifo vya watu watano na kujeruhi watatu akiwemo mtoto mdogo wa miaka miwili.
Mtoto Yohanes Josephat (2) akiwa wodi namba mbili na msamaria mwema akiuguza jicho baada ya kutokea kwa ajli hiyo ambayo wazazi wote wawili walifariki dunia
Picha kwa hisani ya mtaa kwa mtaa Blog
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger