Pages


Home » » WATOTO WA KIKE WASAIDIWE KUTOKANA NA KUISHI MAZINGIRA MAGUMU BWENINI SHULE YA SEKONDARI YA KATA YA ISANSA MBOZI

WATOTO WA KIKE WASAIDIWE KUTOKANA NA KUISHI MAZINGIRA MAGUMU BWENINI SHULE YA SEKONDARI YA KATA YA ISANSA MBOZI

Kamanga na Matukio | 06:01 | 0 comments

Mtandao huu kama ulivyobaini mlango huu wa bweni la wasichana ambao wakati wowote waweza kudondoka.
Kitanda cha bweni hilo kikiwa kimevunjika na bila kufanyiwa matengenezo na hivyo kupelekea wanafunzi hao kutumia kitandahicho kwa kuwekea vitu kama viatu, nguo nk.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger