Pages


Home » » MBOWE AFANYA MKUTANO SOKO LA SIDO NA KULITUMIA KAMA JUKWAA LA SIASA

MBOWE AFANYA MKUTANO SOKO LA SIDO NA KULITUMIA KAMA JUKWAA LA SIASA

Kamanga na Matukio | 06:02 | 0 comments
Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA bwa Freeman Mbowe katika Soko la Sido Mwanjelwa. Na kudai kuwa maafa haya hayakuwa ya Chadema tu, na kwamba vyama vingine navyo viliathiriwa na moto huo.
Wananchi wakishangilia kwa furaha ujio wa Mheshimiwa Mbowe
Bwana Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge Jimbo la Hai, akiwasili katika Soko la Sido Mwanjelwa.
Bwana Mbowe akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mbeya


Wananchi wakifurahia Neno la Bwana Mbowe na wengine wakiwa wamepanda juu ya Mti kufuatilia zoezi la ufariji kutoka kwake

Akina Mama nao hawakuwa nyuma nao wakiwa wamewasili Sidi kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ambaye alikuja kwa lengo la kuwafariji wakazi na wafanyabiashara walikumbwa na janga la Moto ambalo liliteketeza bidhaa zenye thamani za Mamilioni.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger