Pages


Home » » WAOSHA MAGARI ENEO LA MAFIATI WATAKIWA KUHAMA ENEO HILO.

WAOSHA MAGARI ENEO LA MAFIATI WATAKIWA KUHAMA ENEO HILO.

Kamanga na Matukio | 04:57 | 0 comments
Na mwandishi wetu.
Waosha magari eneo la Mafiati jijini Mbeya wametakiwa kuhama katika eneo hilo kutokana na uchafuzi wa mazingira wanaoufanya ambao umekuwa ukihatarisha afya kwa wakazi wa eneo hilo.

Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Bwana Juma Iddi amesema uamuzi wa kuhamisha kwenye eneo hilo imetokana na hpofu ya kuibuka kwa magonjwa ya mripuko ikiwa ni pamoja na uchafuzi wa mazingira.

Nao baadhi ya waosha magari hao wamekiri kutumia eneo hilo bila utaratibu maalumu ikiwa ni pamoja na kutokuwa na kibali cha kutumia eneo hilo.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger