Pages


Home » » BADO KERO YA MAJI MKOANI MBEYA NI SHIDA

BADO KERO YA MAJI MKOANI MBEYA NI SHIDA

Kamanga na Matukio | 05:00 | 0 comments
 Wananchi wa Kata ya Isyesye wamekuwa wakilazimika kuamuza usiku wa manane ili kupata Maji, hali hiyo imekuwa hatari kutokana na wanawake kubakwa.
 Wananchi wakiwa wanasubiri foleni, hali kadharika imekuwa musaada kwa vijana wasiokuwa na kazi kujipatia ajira ya kubeba maji kwa njia ya mikokoteni, ambapo wamekuwa wakibeba ndoo moja kwa shilingi 200/= za kitanzania kulingana na umbali.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger