Home » » PICHA ZA TUKIO LA IMANI ZA KICHAWI LINALOENDELEA KUSUMBUA JIJINI MBEYA

PICHA ZA TUKIO LA IMANI ZA KICHAWI LINALOENDELEA KUSUMBUA JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 05:00 | 0 comments


 Lango kuu la kuingilia Nyumba Bwana Semen Msafiri ambapo Machifu mkoani Mbeya walitawanyika baada ya Tukio la ajabu la mawe kurindima na Plosi kutika Kituo kidogo cha Uyole kushindwa wa kumkamata kutokana na mawe hayo kutofahamika yanarushwa na nani ambapo imedaiwa kuwa ni Imani za kishirikina..
 Ukitanzama kwa makini baadhi ya Mawe yakiwa juu ya Paa, na wananchi wakiwa katika eneo la tukio.
 Watoto nao hawakuwa nyuma katika eneo la tukio bila hofu ya mawe.
 Akili za kitoto siku zote na furaha sambamba na kilio. Watoto wakishangilia kwa furaha wakati zoezi la Mawe kurindima likiendelea.
 Sasa mchezo wa endelea Vikombe navyo hivyo kutoka katika nyumba ya Bwana Semen.
 Haikuishia hapo ............ kufumba na kufumbua macho .......Kingine hicho
 Kama mchezo wa kuigiza, kuchekesha na kuvunja mbavu.... Mara kopo la mafuta aina ya Caro light likarushwa
  Kadri tukio likiendelea kupamba Moto na ndipo Kamera nayo ikaanza kupoteza Taswira ya picha na kupelekea picha nyingine kutoonesha taswira ya tukio.

Picha hizi ni kwa ushirikiano wa Chimbuko LetuMbeya Yetuna Kamanga na Matukio 

Wakazi wawili Mwanyanje kata ya Igawilo jijini Mbeya Bwana SEMENI MSAFIRI na Bwana LEVO MWANGALA wapo katika wakati mgumu baada ya nyumba yao kupigwa mawe yaajabu na watu wasioonekana.

Tukio hilo limekuwa likitokea majira ya saa kumi na mbili jioni hadi saa 4 usiku na kuanza tena saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa moja na nusu asubuhi.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger