Pages


Home » » AJALI NYINGINE YA MAGARI YA MIZIGO MKOANI MBEYA YATOKEA ENEO LA SENJELE WILAYANI MBOZI

AJALI NYINGINE YA MAGARI YA MIZIGO MKOANI MBEYA YATOKEA ENEO LA SENJELE WILAYANI MBOZI

Kamanga na Matukio | 05:17 | 0 comments
 Gari ya mzingo aina ya Scania liliokuwa limebeba tofali kuelekea Jijini Dar es Salaam limefeli mfumo wa breki na hivyo kusababisha kugonga zaidi ya magari matatu na kufunga barabara eneo la Mteremko wa Senjele wilayani Mbozi mkoani Mbeya majira ya Saa 12 jioni.
 Roli kubwa kusholo likiwa limekwama mtaroni wakati wa jitiihada la kulikweba gari lililosababisha ajali hiyo na hivyo kupelekea mpaka sasa kushindwa kutoka na wito kwa madereva kuwa makini na kudhibiti Mwendokasi eneo hilo 
Serikali inapaswa kuboresha miondombinu katika eneo hilo kwa Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa mingine iliyokosa njia mbadala, na hivyo kusababisha foleni kubwa mara baada ya ajali kutokea hali inayopelekea Madereva wa magari makubwa ya mizigo kushindwa kufika kwa wakati muafaka katika Vituo na hivyo kukubwa na tozo la fidia.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger