Pages


Home » » SERIKALI IANGALIE MAKAMPUNI YA ULINZI KUTOKANA NA KUWANYANYASA WAFANYAKAZI WAKE KWA KUTOWALIPA WALINZI WAKE/KUWALIPA MISHAHARA KIMA CHA CHINI.

SERIKALI IANGALIE MAKAMPUNI YA ULINZI KUTOKANA NA KUWANYANYASA WAFANYAKAZI WAKE KWA KUTOWALIPA WALINZI WAKE/KUWALIPA MISHAHARA KIMA CHA CHINI.

Kamanga na Matukio | 05:15 | 0 comments
Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi maarufu kama Gema Security Tawi la Mbeya, ambalo makao makuu  yake Jiji Dar es Salaam, wakiwa nje ya Mahakama ya Kazi jijini hapa wakidai malipo yao baada ya kuachishwa kazi. Licha wakiwa wamelinda kwa uaminifu majengo yenye Mamilioni ya Bidhaa ikiwa ni Pamoja na Hospitali ya Meta, Rufaa, Ustawi wa Jamii na mengineyo.

Hawajalipwa madao yao na Mwajiri wao akidai kuwa Wizara ya Afya haijaweza kumlipa fedha za lindo, ambapo inatia shaka uwezo wa kampuni hiyo juu ya utendaji na haki za wafanyakazi wake.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger