Pages


Home » » JAMII YATAKIWA KUONDOKANA NA DHANA YA KWAMBA UTUMIAJI WA TIBA ZA ASILI NI USHIRIKINA.

JAMII YATAKIWA KUONDOKANA NA DHANA YA KWAMBA UTUMIAJI WA TIBA ZA ASILI NI USHIRIKINA.

Kamanga na Matukio | 02:29 | 0 comments
 Na mwandishi wetu.
Jamii imeshauriwa kuondokana na dhana ya kwamba utumiaji wa tiba za asili ni ushirikina na badala yake wametakiwa kuzitumia tiba hizo kwa kuwa ndio chimbuko la tiba zinazotolewa hospitalini.

Ushauri huo umetolewa na mmiliki wa tiba ya sayansi na asili Boniventure Mwalongo wakati wa mahojiano ofisini kwake kuhusu umuhimu wa tiba za asili kwa binadamu.

Amesema tiba za asili zimeruhusiwa na wizara ya Afya na kwamba huduma za tiba asili zinazopigwa marufuku ni zile zinazotolewa na waganga wa jadi wanaopiga ramli.

Septemba 24 mwaka huu Waziri mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda aliruhusu tiba asili na kuwataka waganga wa jadi kufuata masharti yaliyotolewa na wizara ya afya wakati wa utojia wa huduma zao kwa jamii.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger