Pages


KIZUNGUMKUTI CHA AJALI YA MOTO WENYE UTATA BAR YA OMEGA JIJINI MBEYA , MTEJA MMOJA AFARIKI

Kamanga na Matukio | 05:06 | 0 comments
 Moto wenye utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.Marehemu amekaa chumba hicho kwa muda wa siku mbili na alikuwa anadaiwa shilingi elfu hamsini ya bili ya vinywaji. na Balozi wa mtaa wa Ilolo Bwana Lukomano Mwakatobe amesema ni tukio la pili kwani kwa mwaka uliopita Mwalimu wa Shule ya Sekondari Sangu, marehemu Bernad Ndolela alifariki katika mazingira ya kutatanisha katika nyumba hiyo.
Mwili wa marehemu Ansen Mtono ukichukuliwa na Jeshi la Polisi baada ya kufariki dunia katika chumba cha Bar ya Omega   inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.
Mashuhuda waliofika eneo la tukio la Moto wenye utata ulioteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.
Jeshi la polisi mkoani Mbeya lenye nambari PT 0796 likiondoka na mwili wa marehemu Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia baada ya moto wa utata umeteketeza chumba kimoja cha Bar inayoitwa Omega inayomilikiwa na Mrs Ngwada iliyopo mtaa wa Ilolo jijini Mbeya, majira ya saa Kumi na mbili jioni na mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ansen Mtono wenye umri wa miaka 23 afariki dunia.

SIKU 3 ZASALIA ZA UCHAGUZI WA VITI VYA UDIWANI KATA YA NZOVWE & MAJENGO JIJINI MBEYA

Kamanga na Matukio | 03:04 | 0 comments
Na mwandishi wetu.
Siku 3 zimesalia kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika kata za Nzovwe na Majengo ambapo maandalizi kwa ajili ya uchaguzi huo yanaendelea vizuri.

Majina ya watu wenye sifa za kupiga kura yamebandikwa katika mbao za matangazo ofisi za maafisa watendaji wa mitaa na kata hata hivyo kumetokea malalamiko kadhaa kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao majina yao hayajabandikwa.

Wagombea wanaowani nafasi ya Udiwani kwa kata ya Nzovwe ni OMARY AHAMED kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), DAVID MWASHILINDI kupitia CHADEMA, SHABANI MBEGU kupitia NCCR- Mageuzi, FREDY MWAMBONDO kupitia APPT MAENDELEO na ISAAC SINTUFYA kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Aidha vyama vya siasa vitafunga kampeni za kuwanadi wagombea wao octoba mosi ambapo kampeni za Chadema zitafungwa na Mbunge wa viti maalumu na mjumbe wa BAVIJA Taifa NAOMI MWAKYOMA wakati kampeni za Chama Cha mapinduzi zitafungwa na katibu mwenezi wa siasa wa CCM mkoa Emanuel Madodi.

WAZAZI NCHI WATAKIWA KUWAJENGEA MISINGI YA KUTHAMINI ELIMU WATOTO WAO

Kamanga na Matukio | 03:03 | 0 comments
 Na mwandishi wetu.
Wazazi wametakiwa kuwahimiza watoto wao kuzingatia masomo badala ya kuwaachia watoto wao kufanya mambo ya starehe ambayo yamekuwa yakiwaasababishia kufanya vibaya katika mitihani yao ya Taifa.

Rai hiyo imetolewa na Padre Bathromeo Kaniki katika mahafali ya pili ya kituo cha elimu ya kujiendeleza Juhudi ya liyofanyia katika ukumbi wa Kiwira jijini Mbeya jana.

Amesema wazazi wamekuwa wakichangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kufanya vibaya kwenye mitihani yao kutokana na wao kuwanunulia zaidi vitu vya burudani kuliko vitabu vitakavyowawezesha watoto kujisomea.

Wakati huohuo amewataka watahiniwa kutumia elimu waliyoipata katika kuchanganua mambo yaliyomo ndani ya jamii ili waweze kuepukana na kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya.

TEKNOHAMA ITAKUWA NDOTO MAENEO YA VIJIJINI ENDAPO HAVITAPEWA KIPAUMBELE CHA NISHATI YA UMEME

Kamanga na Matukio | 03:02 | 0 comments
Na mwandishi wetu
Imeelezwa kuwa teknolojia ya habari mawasiliano(TEKNOHAMA) itakuwa ndoto maeneo ya vijijini iwapo nishati ya umeme haitapewa kipaumbele maeneo hayo.

Wakiongea na mwandishi wetu wadau mbalimbali wa sekta ya habari mawasiliano nchini wamesema kuwa muda mrefu wameshindwa kuwekeza vijijini kutokana na ukosefu wa nishati wa uhakika maeneo hayo.

Aidha utafiti uliofanywa na mtandao huu umebaini kuwa wakazi wengi wana uelewa mdogo wa TEKNOHAMA hali inayosababisha kutokuwa na uwezo wa kutoa na kupata habari sahihi kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Hata hivyo wadau wa nishati ya umeme mkoani mbeya wameshauri wawekezaji kutumia umeme rahisi wa mionzi ya jua pamoja na bayogesi ili kuwawezesha wakazi wa pembezoni kupata huduma ya intaneti na mafunzo mengine ambayo huharakisha maendeleo ya milenia nchini.

Teknolojia habari mawasiliano imekuwa ni kichocheo cha maendeleo duniani na hivyo ulewa mkubwa wa teknolojia hiyo kumezidi kuleta ushindani katika soko la ajira kwa vijana.

AJALI : CHIMBUYA - TUNDUMA MKOANI MBEYA.

Kamanga na Matukio | 17:01 | 0 comments

 Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari za usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa mbili unusu usiku jana.
Watu wakiangalia gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.
Watu wakiangalia gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.
 Mmoja kati ya majeruhi wa ajali iliyohusisha  gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.  
 Mmoja kati ya majeruhi wa ajali iliyohusisha  gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.  
 Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo(kulia),akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa ajali   iliyohusisha  gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.Katikati ni mganga mkuu wa Wilaya ya Mbozi Dk. Charles Mkombachepa.     
 Mmoja kati ya majeruhi wa ajali iliyohusisha  gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.    
Mganga mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Dk. Charles Mkombachepa(wa pili kushoto),akimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo(kulia),sehemu za majeraha aliyopata mmoja wa majeruhi wa ajali   iliyohusisha  gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.  
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Dk. Charles Mkombachepa (kushoto), akitoa taarifa ya maafa na majeruhi wa   ajali   iliyohusisha  gari aina ya TOYOTA Prado Hiace yenye nambari ya usajili  T155 ACQ ambayo iligongana uso kwa uso na gari ya abiria aina ya     Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya jana saa mbili unusu usiku.

BREAKING NESSSSSS:- MZIMU WA AJALI WAENDELEA KUIANDAMA MBEYA, AJALI MBAYA YATOKEA TENA MAENEO YA CHIMBUYA WILAYANI MBOZI

Kamanga na Matukio | 05:01 | 0 comments
 
*Watu 8 wahofiwa kupoteza maisha akiwemo dereva wa pikipiki.

*Majeruhi wakimbizwa hospitali ya Rufaa Mbeya na wengine katika hospitali ya wilaya ya Mbozi.

*Gari ya abiria aina ya Hiace yenye nambari ya usajili T219 ASW ambayo ilikuwa ikitokea mji mdogo wa Tunduma ikielekea Jijini Mbeya iligongana uso kwa uso na gari aina ya Toyota Prado yenye nambari za usajili T155 ACQ, majira ya saa moja usiku ikihusisha mpanda pikipiki ambayo haikuweza kufahamika mara moja nambari yake.

Chanzo cha ajali hii ni Trekta ambalo liliingia barabarani likiwa halina taa, ndipo dereva wa Toyota Prado ali[ojaribu kulikwepa akaavaana uso kwa usona na gari ya abiria.
 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger