MTANDAO WA KAMANGA NA MATUKIO NA CHIMBUKO LETU TUNAPENDA KUOMBA RADHI KWA WADAU WETU, KUTOKANA NA UKIMYA KWA MUDA WA KUTOKUHABARISHAJI, HII YOTE IMESABABISHWA NA KUIBIWA KWA PIKIPIKI YETU ILIYOKUWA IKITUWEZESHA KUSAFIRI HADI ENEO LA TUKIO KWA LENGO LA KUPATA HABARI ZA UHAKIKA NA HARAKA.
MPAKA SASA HATUJAWEZA KUIPATA PIKIPIKI HIYO AINA YA HONDA 250 YENYE NAMBARI T 462 AKG.
0 comments:
Post a Comment