Pages


Home » » NAPE AHUDHURIA IBADA KATIKA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KAWE

NAPE AHUDHURIA IBADA KATIKA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KAWE

Kamanga na Matukio | 05:17 | 0 comments

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipongezwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, baada ya kutoa mahubiri yake katika kipindi cha ‘Hekima za Viongozi’ alipohudhuria ibada ya Kanisa hilo jana kwenye Viwanja vya kilichokuwa kiwanda cha kusindika
nyama cha Tanganyika Packers, Kawe mjini Dar es Salaam. Nape alihudhuria ibada hiyo kutokana na mwaliko wa kanisa hilo.
(Na Mpiga picha Wetu).
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger