Pages


Home » » JAMII YATAKIWA KUTOWATENGA NA KUWAFICHA WATOTO WALEMAVU.

JAMII YATAKIWA KUTOWATENGA NA KUWAFICHA WATOTO WALEMAVU.

Kamanga na Matukio | 03:53 | 0 comments

Habari na Mwandishi wetu.
Mkurugenzi wa taasisi ya kusaidia watoto walemavu Child Support tanzania iliyopo Block T jijini Mbeya  Bi Noela Msuya ametoa wito kwa jamii kutowatenga na kuwaficha watoto wenye ulemavu.

Hayo yamesemwa na Bi Msuya alipokuwa akiongea na mwandishi wetu ofisini kwake amesema jamii inatakiwa kuwashirikisha na kuwawezesha walemavu katika mambo mbalimbali ya maendeleo katika jamii

Aidha ameongeza kuwa watoto walemavu ni sawa na watoto wengine na wana uwezo ,vipaji pia jamii inatakiwa kuviendeleza vipaji ili wasije kuwa tegemezi kwa maisha ya baadae.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger