Pages


Home » » RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA NA KUKAGUA SHAMBA LAKE LA MANYASI YA MIFUGO-MSOGA

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA NA KUKAGUA SHAMBA LAKE LA MANYASI YA MIFUGO-MSOGA

Kamanga na Matukio | 05:19 | 0 comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwake Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani leo. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo kwa njia ya kisasa (zero grazing), akiwa ni mmoja wa wafugaji kijijini hapo. Rais Kikwete, ambaye aghalabu hutumia muda wake wa likizo shambani kwake, pia analima mananasi ambayo hustawi vizuri katika wilaya hiyo. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa shambani kwako Msoga, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. Shamba hilo ni la manyasi ya kulishia mifugo.
PICHA NA IKULU.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger