Pages


Home » » RAIS KIKWETE AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA LEO IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM.

RAIS KIKWETE AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA LEO IKULU, JIJINI DAR ES SALAAM.

Kamanga na Matukio | 04:52 | 0 comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2012. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2012. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger