Pages


Home » » JK AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA KILIMO JIJINI DAR ES SALAAM .

JK AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA KILIMO JIJINI DAR ES SALAAM .

Kamanga na Matukio | 05:34 | 0 comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi saba za Afrika hapo jana February 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mawaziri wa kilimo wa nchi saba za Afrika baada ya kufungua mkutano hapo jana February 17, 2012 katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt jijini Dar es salaam. Nyuma ya Rais Kikwete ni kamishna wa Maendeleo vijijni na Kilimo wa Umoja wa Afrika Bi. Rhoda Tumussime.(PICHA NA IKULU).
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger