| Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya |
| Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu |
| Wananchi wakiwatupia mawe polisi |
| Mji mdogo wa Chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi |
| Hiki ndiyo kituo cha polisi lupa tingatinga chunya kilichoharibiwa na wananchi wenye hasira kali |
| Hii ni nyumba ambayo walikuwa wakiishi askari wanaotuhumiwa kumuua mwanafunzi aliyetuhumiwa kuiba simu vifaa mbali mbali ya matumizi ya nyumbani vilichomwa moto na wananchi hao |
| Mkuu wa polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akiongea na viongozi wa Lupa Tingatinga Chunya jana |
| Viongozi wa kijiji cha Lupa Tingatinga wakimsikiliza mkuu wa polisi mkoani mbeya jana |
0 comments:
Post a Comment