Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi, ambao idadi yao haikuweza kufahamika mara moja wametikisa Mji wa Mswisi Wilaya ya Mbarali usiku wa kuamkia leo. Watu hao waliingia na kupora maduka kadhaa na kufyatua risasi, ambapo mtu mmoja amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na kukimbizwa katika Hospitali ya Chimala Mission wilayani humo.
Hata hivyo wananchi waliweza kuwafuatilia, majambazi hao lakini hawakuweza kuwa kamata na kisha kutoa taarifa katika Kituo cha Polisi Kongoro Mswisi na Igurusi.
*******Kwa taarifa zaidi endelea kutembelea mtandao huu******
0 comments:
Post a Comment