Pages


Home » » BAADHI YA MATUKIO MBALIMBALI YA MOTO KATIKA SOKO LA BLACK - TUNDUMA LILILOTEKETEA USIKU WA KUAMKIA JANA.

BAADHI YA MATUKIO MBALIMBALI YA MOTO KATIKA SOKO LA BLACK - TUNDUMA LILILOTEKETEA USIKU WA KUAMKIA JANA.

Kamanga na Matukio | 05:27 | 0 comments


Baadhi ya wananchi wakigombea mabaki ya bidhaa katika maduka yaliyoteketea kwa moto jana katika mji wa Tunduma (picha na Ezekiel Kamanga)

          Baadhi ya bidhaa zikiteketea baada ya kuzuka moot katika soko la Black liliopo mji mdogo wa Tunduma Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Mbeya.
Moto ukiendelea kuwaka kabla haujadhibitiwa na kikosi cha zimamoto kutoka nchi ya Zambia.
 Wananchi wa Tunduma wakishuhudia moto ukiteketeza baadhi ya vibanda na maduka.
Wananchi wakiwa hawaamini kinachoendelea baada ya moto kuzuka katika soko la Black lililopo Tunduma mkoa wa Mbeya usiku wa manane

Baadhi ya wananachi wakishuhudia na kuondoa mabakiya bidhaa zilizoteketea kwa moto ndani ya vibanda 9 vya biashara katika  Soko la Black lililopo mji mdogo wa Tunduma
Baadhi ya wananachi wakishuhudia na kuondoa mabaki ya bidhaa zilizoteketea kwa moto ndani ya vibanda 9 vya biashara katika  Soko la Black lililopo mji mdogo wa Tunduma
Fundi juu ya paa la mojawapo ya maduka yaliyoungua baada ya moto kuteketeza soko la Black mjini Tunduma (picha na Ezekiel Kamanga)
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger