Pages


Home » » MWANJELWA YANUKA KWA UCHAFU - MBEYA

MWANJELWA YANUKA KWA UCHAFU - MBEYA

Kamanga na Matukio | 07:05 | 0 comments
 Mifugo inayofugwa katikati ya jiji la Mbeya huchafua mazingira na Wenyeviti na Watendaji wa mitaa huchukua pesa kwa wanyonge na kuwaacha wamiliki wa mifugo ambao wamekuwa wakitoa pesa nyingi. Pichani ni eneo la Mwanjelwa kata ya Ruanda jijini hapa ambapo mfugaji wa ng'ombe huogopwa na viongozi wa mtaa huo. Je? kwa hali hii tutafika?.
Pichani ni maji ya kinyesi cha ng'ombe hutiririkia kutokana na mvua zinazonyesha na hivyo dada huyu hulazimika kulipa faini, kutokana na mazingira hayo kuchafuliwa na kinyesi cha ng'ombe aliyopo picha ya juu.(Picha na Ezekiel Kamanga).
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger