Pages


Home » » EWURA MPO WAPI?:- BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA VYAENDELEA KUUZA MAFUTA YALIYOCHAKACHULIWA - MBEYA

EWURA MPO WAPI?:- BAADHI YA VITUO VYA MAFUTA VYAENDELEA KUUZA MAFUTA YALIYOCHAKACHULIWA - MBEYA

Kamanga na Matukio | 07:19 | 0 comments
 Baadhi ya Vituo vya mafuta mkoani Mbeya vinaunza mafuta yaliyochakachuliwa Ewura mko wapi? msikae na kuzunguka katika viti vya ofisini huko Dar es salaam hadi Waandishi wa habari wabaini kuwepo kwa udanganyifu wa mafuta. 
Pichani ni Bwana Gordon Kalulunga akionesha mafuta yaliyochakachuliwa katika moja ya vituo vya mafuta jijini Mbeya.
Pichani ni gari lililokuwa limewekwa mafuta yaliyochakachuliwa kituoni hapo na kisha kuzima muda mfupi tu wakati likiwashwa na dereva kwa lengo la kuondoka, ndipo alipobaini kuwepo kwa mafuta yaliyochakachuliwa.
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger