Pages


Home » » KUPUNGUA KWA AJALI MKOANI MBEYA NI NDOTO KAMA UTARATIBU NI HUU.

KUPUNGUA KWA AJALI MKOANI MBEYA NI NDOTO KAMA UTARATIBU NI HUU.

Kamanga na Matukio | 06:50 | 0 comments
 Polisi wafumbia macho upakiaji wa abiria kwenye magari ya mizigo, licha ya Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi kuzuia, kufuatia ajali ambazo hutokea mara kwa mara mkoani hapa. Pichani ni gari ya mizigo lililokutwa na mwandishi wetu likiwa limepakia abiria na kuruhusiwa kuendelea na safari kutoka Mbalizi kuelekea Chunya mkoani hapa.
Pichani ni gari ya mizigo aina ya Toyota Landacruiser lililokutwa na mwandishi wetu likiwa limepakia abiria na kuruhusiwa kuendelea na safari kutoka Mbalizi kuelekea Chunya mkoani hapa.
 Gari aina ya Lori (katikati), likiwa limebeba abiria na mizigo kuelekea Mkwajuni wilayani Chunya, licha ya Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi kuzuia magari ya mizigo kubeba, kufuatia ajali ambazo hutokea mara kwa mara mkoani hapa.
 (Picha na Ezekiel Richard Kamanga)
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger