Pages


Home » » MBEYA YAPOKEA MKUU WA UPELELEZI MPYA NA KUMUAGA WAZAMANI.

MBEYA YAPOKEA MKUU WA UPELELEZI MPYA NA KUMUAGA WAZAMANI.

Kamanga na Matukio | 06:39 | 0 comments
 Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi (RCO) mpya wa Mkoa wa Mbeya Bwana Chacha (katikati aliyevalia koti Jesusi), akiwa na mtunza hazina wa MUJATA mkoani hapa Kanali Mstaafu Silvester Matiko (kulia) akikaribishwa katika Ukumbi wa Mji mdogo wa Mbalizi katika sherehe za kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi hilo mkoani (RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam (Picha na Ezekiel Kamanga).
Kutoka kushoto aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya (RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam, akifuatiwa na Mwenyekiti wa MUJATA mkoani hapa Bwana  Chifu Shayo Soja katika sherehe za kumuaga na kumkaribisha RCO mpya.(Picha na Ezekiel Kamanga).
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger