Pages


Home » » BINTI MDOGO ANAYEJIHUSISHA NA UTENGEZAJI WA PIKIPIKI GEREJINI. APATA WANAFUNZI - MBEYA

BINTI MDOGO ANAYEJIHUSISHA NA UTENGEZAJI WA PIKIPIKI GEREJINI. APATA WANAFUNZI - MBEYA

Kamanga na Matukio | 07:11 | 0 comments
 Binti pichani Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Jiji la Mbeya kwa umahiri anaounesha kwa kutengeneza Pikipiki . Pichani Binti huyo akirekebisha moja ya Pikipiki kubwa aina ya T-Better katika Gereji iliyopo eneo la Srereo Jijini Mbeya kama alivyokutwa na mpigapicha wetu jana.(Picha na Ezekiel Kamanga) 
Vijana wa kiume ambao hufundishwa utengenezaji wa pikipiki na Binti Happy Pius (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano ni mtoto mwenye kipaji cha pekee na kuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Jiji la Mbeya kwa umahiri anaounesha kwa kutengeneza Pikipiki katika Gereji iliyopo eneo la Srereo Jijini Mbeya kama alivyokutwa na mpigapicha wetu jana.(Picha na Ezekiel Kamanga) 
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger