Pages

Home » » MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU

Kamanga na Matukio | 02:40 | 0 comments
 Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yalimalizika jana kwa shughuli mbalimbali. Pichani mchezaji wa Bao Shomi Mtaki wa timu ya Tunduma (kushoto), akipambana na Chesko Ngairo (Fulana Nyeusi) wakati wa pambano kali la mchezo huo lililochukua muda wa Nusu saa  na baadaye walitoka suluhu ya 1-1.
 Mchezo huo ulifanyika katika ukumbi wa Big Jomba uliopo Uyole Jijini Mbeya  mchezo huo ulikuwa ni moja ya kumuuenzi Baba wa taifa hili Hayati Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere ambaye alikuwa mpenzi mkubwa wa mchezo huo wakati wa uhai wake.
  Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yalimalizika jana kwa shughuli mbalimbali. Pichani baadhi ya wapenzi wa mchezo wa asili wa Bao wakipambana katika Ukumbi wa Big Jomba uliopo Uyole Jijini Mbeya. Mchezo huo wa Bao ulikuwa ni moja ya kumuuenzi Baba wa taifa hili Hayati Mwalimu Julius Kambarage  Nyerere ambaye alikuwa mpenzi mkubwa wa mchezo huo wakati wa uhai wake.

Share this article :

0 comments:

Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger