Mkuu wa Chuo cha Ufundi(MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Bwana Gurd Lwinga akitoa utambulisho katika mahafali ya 11 ya wahitimu wa chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya. Chuo hicho hutoa mafunzo ya Ushonaji nguo, Useremala, utengenezaji wa Umeme wa sola, umeme wa majumbani, uhaziri, hoteli, kompyuta na kozi za lugha ya kiingereza.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Bwana Frank Phiri akimkaribisha katibu mkuu wa kanisa la hilo Mchungaji Daudi Msweve katika mahafali ya 11 ya wahitimu wa chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.
Katibu mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji Daudi Msweve akihutubia katika mahafali ya 11 ya wahitimu wa chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.
Mgeni rasmi wa mahafali ya 11 ya chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo akipokea zawadi ya samani, aina ya meza iliyobuniwa na kutengeneza na wahitimu hao katika mahafali yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.
Wahitimu 167 wakiwemo wavulana 61 na wasichana 106, wamehitimu mafunzo ya Ufundi katika Chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi kunako mahafali ya 11 ya chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.
Kwaya ya wito ya Kanisa la Baptist usharika wa Kanani jijini Mbeya, wakitumbuiza nyimbo za Injili mahafali ya 11 ya Chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.
Baadhi ya wanachuo wanaoendelea na masomo ya ufundi katika Chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, wakiimba shairi katika mahafali ya 11 ya chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.
Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimolo akipokelewa na Katibu mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Mchungaji Daudi Msweve, kabla ya kuanza kwa mahafali ya 11 ya Chuo cha Ufundi (MVTC) kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu, katika Ukumbi wa Chuo hicho eneo la Kadege, Forest ya zamani jijini Mbeya.(Picha na Ezekiel Kamanga & Johnson Jabir)
0 comments:
Post a Comment