Pages


Home » » TAMASHA LA JUMATATU YA PASAKA MBEYA LAFANA NA DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA ATOA SHILINGI MILIONI 8 KUSAIDIA UJENZI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA

TAMASHA LA JUMATATU YA PASAKA MBEYA LAFANA NA DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA ATOA SHILINGI MILIONI 8 KUSAIDIA UJENZI WA KITUO CHA WATOTO YATIMA

Kamanga na Matukio | 02:34 | 0 comments
Mweshimiwa Dk Mary Mwanjelwa  Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mbeya akizindua tamasha la jumatatu ya pasaka lililofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu inayoratibu tamasha la pasaka la kimataifa, Alex Msama akiwashukuru wakazi wa mbeya kujitokeza kwa wingi katika tamasha hilo lililofanyika katika uwanja wa Sokoine Mbeya
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu inayoratibu tamasha la pasaka la kimataifa, Alex Msama akipokea msaada wa pesa shilingi milioni 8 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima toka kwa Mweshimiwa mbunge viti maalumu mkoa wa Mbeya Dk Mary Mwanjelwa 
Baadhi ya viongozi mbali mbali wa dini na serikali walihudhuria tamasha hilo
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Solomon Mukubwa akiwatumbuiza wakazi wa Mbeya  
Waimbaji Wa Christ Ambassadors kutoka Rwanda wakiimba kwa furaha katika tamasha hilo
Hakika simu zenye kamera zilipata ndiyo zilizoongoza wanjani hapo kuchukua matukio yote
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger