TAARIFA YA JESHI LA
POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI
“PRESS RELEASE”
TAREHE 07.02.2013.
WILAYA
YA MOMBA – MAUAJI.
MNAMO TAREHE 06.01.2013 MAJIRA YA SAA
10:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA SENGA – KAMSAMBA WILAYA YA MOMBA MKOA WA MBEYA .
HAMISI S/O LINGSON MATOKA,MIAKA
40,MNYIHA,MKULIMA MKAZI WA KITONGOJI CHA MING’ONGO KIJIJI CHA SENGA ALIKUTWA
PORINI AKIWA AMEUAWA KWA KUPIGWA KITU KIZITO KICHWANI NA MTU/WATU WASIOFAHAMIKA
.
MAREHEMU AMBAYE ALIKUTWA NA JERAHA KUBWA KICHWANI ALIKUWA ANARUDI NYUMBANI KWAKE AKITOKEA MAKAO MAKUU YA KIJIJI CHA SENGA KWENYE MKUTANO WA KAWAIDA WA MAENDELEO YA KIJIJI . MBINU ILIYOTUMIKA NI KUMVIZIA NJIANI NA KUMPIGA HADI KUFA .
CHANZO KINACHUNGUZWA .KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA MRAKIBU MWANDAMIZI WA POLISI BARAKAEL MASAKI ANATOA WITO JAMII KUACHA TABIA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI BADALA YAKE WATATUE MATATIZO YAO KWA NJIA YA MAZUNGUMZO ILI KUEPUSHA MADHARA YANAYOWEZA KUEPUKIKA.
AIDHA ANATOA RAI KWA MTU/WATU WENYE TAARIFA JUU YA MAHALI WALIPO WATU WALIOHUSIKA NA TUKIO HILI AZITOE ILI WAKAMATWE NA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.

YA MBEYA MJINI - KUPATIKANA NA BHANGI.
MNAMO TAREHE 06.02.2013 MAJIRA YA SAA
11:00HRS HUKO ENEO LA SOWETO JIJI NA MKOA WA MBEYA . ASKARI POLISI WAKIWA DORIA
WALIWAKAMATA 1.FRANK S/O CHARLES @ BUDA ,MIAKA36,KYUSA,BIASHARA MKAZI WA BLOCK - Q
NA 2.
FURAHA S/O CHARLES,MIAKA 22,MSAFWA,MKULIMA MKAZI WA ILEMI WAKIWA NA BHANGI KETE 357 SAWA NA KILO 1 NA GRAM 785 . WATUHUMIWA NI MUUZAJI NA WAVUTAJI WA BHANGI.
TARATIBU ZA KISHERIA ZINAFANYWA ILI WAFIKISHWE MAHAKAMANI. KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA MRAKIBU MWANDAMIZI WA POLISI BARAKAEL MASAKI ANATOA WITO JAMII KUACHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI.

Signed
by
[ BARAKAEL MASAKI – SSP ]
KAIMU
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.
0 comments:
Post a Comment