| Mchuma mpya aliopewa Ngassa baada ya kusajiliwa na Simba. |
| Mrisho Ngassa akiingia mazoezini. |
| Mashabiki wa Simba wakiwa wanampokea mchezaji wao mpya Mrisho Ngassa. |
| Ngassa ndani uzi mwekundu akiwa na Uhuru Suleiman. |
| Ngassa akipambana na Amri Kiemba. |
| Na jezi yake ile ile namba 16. |
| Wanasimba wakiwa juu ya mawe ya ufukwe wa COCO wakiwaangalia wachezaji wao wakifanya mazoezi. |
| Hapa Ngassa akiwa amezingirwa na mashabiki wa Simba baada ya kufika makao makuu ya klabu hiyo kutambulishwa |
| Mrisho Ngassa akiwa na uzi wake mpya baada ya kutambulishwa makao makuu ya Simba |
| Ujumbe kwa uongozi wa Yanga. |
0 comments:
Post a Comment