Pages


Home » » WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA DHANDHO WACHAPANA KAVUKAVU BAADA YA KUDHURUMIANA UJIRA WA SHILINGI ELFU MOJA.

WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA DHANDHO WACHAPANA KAVUKAVU BAADA YA KUDHURUMIANA UJIRA WA SHILINGI ELFU MOJA.

Kamanga na Matukio | 05:44 | 0 comments
 Wafanyakazi wa DHANDHO eneo la Kadege jijini Mbeya wakipigana makonde ndani ya kampuni hiyo baada ya kudhurumiana malipo ya ujira shilingi elfu moja, Licha ya sakali kuwepo alishindwa kuchua hatua ya kudhibiti na mpaka pale wafanyakazi wengine walivyoingilia kati kudhibiti ugomvi huo.

Mtandao huu umeshuhudia vijana hao hao wakidundana kwa siku mbili mfululizo, bila uongozi wa kampuni hiyo kuchukua hatua za kinidhamu dhidi yao. Je, kampuni hii itakuwa na tija?!
Share this article :

0 comments:

 
Support : Creating Website | Greyson Salufu Template | Chimbuko Letu Inc
Copyright © 2011. Kamanga na Matukio - All Rights Reserved
Template Modify by Chimbuko Letu Inc
Proudly powered by Blogger